Maswali..........Ni muda mrefu tumekuwa tukimsikia Mheshimiwa Makufuli akiwataka wavuvi wanaotumia nyavu ndondogo wengine wanaita korokoro wazisalimishe au wakikamatwa watachukuliwa hatua za kisheria. Kimsingi wavuvi hawa wamekuwa wakijipatia riziki zao za kila siku kwa nyavu hizo ndogondogo. Sasa wengi wamesalimisha nyavu zao na hawana namna ya kujipatia mkate wao wa kila siku pengine watoto wanaweza wakashindwa kwenda shule hapo baadaye. SASA kwa nini Makufuli asiwajibike kuwatafutia miokpo ya kuwanunulia nyavu halali wale wanaosalimisha nyavu zao kwa hiyari yao ili awashawishi na wengine kusalimisha zao? Nasema hivyo kwa sababu kama mtu anajua akisalimisha nyavu zake watoto watakufa njaa hatakuwa tayari kufanya hivyo. WADAU MNASEMAJE?
Ni muda mrefu tumekuwa tukimsikia Mheshimiwa Makufuli akiwataka wavuvi wanaotumia nyavu ndondogo wengine wanaita korokoro wazisalimishe au wakikamatwa watachukuliwa hatua za kisheria. Kimsingi wavuvi hawa wamekuwa wakijipatia riziki zao za kila siku kwa nyavu hizo ndogondogo. Sasa wengi wamesalimisha nyavu zao na hawana namna ya kujipatia mkate wao wa kila siku pengine watoto wanaweza wakashindwa kwenda shule hapo baadaye. SASA kwa nini Makufuli asiwajibike kuwatafutia miokpo ya kuwanunulia nyavu halali wale wanaosalimisha nyavu zao kwa hiyari yao ili awashawishi na wengine kusalimisha zao? Nasema hivyo kwa sababu kama mtu anajua akisalimisha nyavu zake watoto watakufa njaa hatakuwa tayari kufanya hivyo. WADAU MNASEMAJE?
unajua tunakasoro moja WaTz, tunapenda sana kuona huruma pindi SHERIA IKISIMAMIWA VYEMA.sijakuelewa,inamaana unataka uvuvi haramu uendelee kwa kisa cha kupeleka watoto shule au? kwani hizo nyavu zinazo hitajika zina tofauti gani ya bei na hizo haramu? na tangu waanze kufanya huo uharibifu wao hawajapata mtaji wa kununua nyavu nzuri na rafiki wa mazingira?
I was about to write the same thing.Mateso
Makufuli ni nani? Umekuwa great tinker I presume?
anaweza kuwa amekosea herufi za jina la huyo mtu, ila kwa muktadha na maeleza yake yanakupeleka moja kwa moja kwa mtu mmoja maarufu sana anaitwa Dr JOHN POMBE MAGUFULI mbunge wa Chato na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi. mkemia,na mwalimu wa zamani.Mateso
Makufuli ni nani? Umekuwa great tinker I presume?