Ndugu wanajamvi hii ni hatari kwa taifa na watoto wetu.kufuatia uongozi uliopo madarakani kwa sasa chini ya headmaster col.MWANGASI na wasaidizi wake kufuja pesa mpaka kufikia kushindwa lipa mishahara na posho za walimu,mpaka leo tar.9/11/2013 walimu raia na askari hawajalipwa mishahara ya october.Hivyo walimu wako katika mgomo usio rasmi na walimu toka alhamisi na ijumaa wako katika vikao visivyo isha hivyo kupelekea wanafunzi wa kidato cha sita,tano,tatu na kwanza kukosa masomo! cha kujiuliza ada zimelipwa? jibu ni ndio,kwa mkataba wa kazi hii shule ni mali ya JWTZ na mmiliki ni CHIEF OF DEFENCE FORCE(CDF)(GEN.DAVIS MWAMNYANGE) je anajua haya? kama ufisadi mpaka jwtz where is patriotism to these guys?_source;NIPO NDANI YA TUKIO
Mimi nimefundisha hapo mwaka 1992 hadi 1995. Mshahara wangu nilikuwa naupata kila tarehe 20 ya mwezi niliofanya kazi. Poleni.
Mkuu uko wapi siku hizi?
mnatusikitisha sisi Alimina, Col.IDDY KIPINGU na kina mama MOSHA na Meg.KISALIKA walikuwa wanafanyaje Enzi za utawala wao kiasi cha shule kufikia hatua hiyo ya kushindwa kulipa mishahara ya walimu? Mjitafakari rudisheni hadhi ya Makongo, kipindi chetu kulikuwa hakuna zero wala Div V, lakini leo Zero=Div V zinafika 200, hii si shule tena ndo maana walimu hawafundidhi! Jifunzeni kwa kina Col.KIPINGU wawe washauri wa shule
Sasa hivi iko UNHCR
Alishastaafu, sasa hivi Kipingu yupo kwenye kamati iliyoteuliwa na rais wa TFF kuweka mikakati ya Tanzania kufuzu kwenda AFCON.Kwani huyo Kipingu kaenda wapi?
mkuu samahani...huyo kwenye avatar ndio wewe? samahani lakini!
Huyo ni rafiki yangu Iddi Amini Dada. Wakati mwingine udikteta unafaa.
ok ok ok.....pia mkuu hiyo signature yako imetulia!
Enzi hizo Makongo ikiwa shule.
Kanali Iddi omari kipingu,
Meja Banda
Meja Yeyeye
Captain Kisarika
Meja Longlway
Mama kihurule
Mama Mosha.
Mimi nimefundisha hapo mwaka 1992 hadi 1995. Mshahara wangu nilikuwa naupata kila tarehe 20 ya mwezi niliofanya kazi. Poleni.
Wewe Kama Siyo Mtani Wangu MHAYA Sijui! Kwa Misifa na Mikogo........................................Hamjambo.