Makonda, Manji, Mbowe na Ben Saanane

Hatuna upinzani bongo,haiwezekani mtu afoji vyeti ambapo ni kosa la jinai afu upinzani unachekelea tu na jinsi huyo mtu anayetuhumiwa kufanya foggery anapompeleka kiongozi wao mahabusu...mnapewa hela ya ruzuku ili kuisimamia serikali iwe kwenye mstari kuwaletea maendeleo wananchi,sasa kama CDM mmeshindwa kuhakiki kama ni kweli jamaa amefoji kwa kwenda tu necta kisha kupaza sauti na kumng'oa madarakani ili sheria ifate mkondo basi hakuna maana ya nyie kupewa ruzuku....mmemshindwa mkuu wa mkoa tu sasa yule wa nchi mtawezaje!
 
 
Maelezo mazuri, uwekezaji afrika esp Tanzania upo mikononi mwa wanasiasa once you go against them lazima ulambe sakafu
 
Mmmmmmmh

Madawa ya kulevya ndio chanzo ungejua wangapi wanahusika nayo na nini wanawwza kufanya kurubuni wananchi basi mifano umejionea.

Usiseme aliowataja kuja qengi sama na amebana kona nyingi za vyanzo vya pesa chafu kuanzia Dar na wengine wanapokea mikoani.

Ni kumchochea afukuzwe, haendi popote na hana wajibu wa kuwaonyesha yake.


Makonda oyeeeeeee
 
Lakini hilda newton alisema kamuaga ben kuwa kaenda afrika kusini kwanini wasituambie vizuri?
 
Hovyooooo. Lengo la Uzi Mzima Lilikuwa ni Kumtetea Mbowe. Hatujasema Wenye Vyeti Fake Wasijibu Tuhuma - Wajibu. Lakini Pia na Huyo Mr.ZERO ALIYEKUTUMA HAPA na yeye kama kiongozi na mtu anayejiona mtetezi wa haki za binadamu basi na yeye AJIBU Cheti Cha Form 4 alichonacho ALIKICHAPISHIA WAPI - ASEME MTIHANI WA FORM 4 alifanya wapi na lini . Aitishe Press Conference AJIBU HAYO na sio kutuma vibaraka kuja kutetea humu...
 
wewe ndio mamlaka yake ya uteuzi? ya nyumba ya jirani yanakuhusu????? hovyoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…