Joint Direct Attack Munition (JDAM), soma kuhusu utendaji kazi wake, Slowly.Mi kilichonishangaza haya makombora yanapigaje Kwa chini na siyo juu ambapo kuna open space ya kombora kupita na ndo jengo linakuwa exposed .....!! Mi sijaelewa wataalam mnijuze
Huenda wanatumia mfumo wa Missile guidanceHapo kupiga jengo moja tuu na la pembeni halipati madhara ndo kunanishangaza....
Tumezoea kombora linapigwa creki mpaka mtaa wa saba tena kwa kishindo si cha kawaida