Make your house a home

mbalamwehu

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
64
Reaction score
16
Ifanye nyumba yako iwe na mwonekano nadhifu kwa kuwasiliana nasi
1. Tunatengeneza sofa aina zote, za chuma na za mbao zenye ubora wa hali ya juu kwa bei poa sana
2. Tunatengeneza vitanda aina zote, vya mbao, chuma na vya sofa vyenye umaridadi
3. Tuna design meza za sofa kulingana na sebule yako
4. Makabati ya nguo na vyombo kwa bei poa sana
5. Tunaset mapazia kwa ubora wa hali ya juu
6. Tunarepair sofa aina zote
KARIBUNI SANA
mawasiliano
0719532007
 
Naomba bei ya bidhaa zifuatazo

Hiki kitanda na je mtu akitaka modification kidogo inawezekana?

Ila rangi iwe ya Mwanaume anaetarajia kua na familia sio rangi kama ya kiongozi wa mkoa fulani
 
Naomba bei ya bidhaa zifuatazo

Hiki kitanda na je mtu akitaka modification kidogo inawezekana?

Ila rangi iwe ya Mwanaume anaetarajia kua na familia sio rangi kama ya kiongozi wa mkoa fulani
Kama ilivyo 600000 mkuu
 
Naomba bei ya bidhaa zifuatazo

Hiki kitanda na je mtu akitaka modification kidogo inawezekana?

Ila rangi iwe ya Mwanaume anaetarajia kua na familia sio rangi kama ya kiongozi wa mkoa fulani
Kitanda ni 600000 mkuu, modification yoyote tunafanya, sema tu unachotaka kiwepo/kisiwepo mkuu

Sofa pia unatengenezewa unayotaka mkuu, rangi yoyote muundo wowote kwa 300000
 
Kazi bado zinaendelea, mteja wa pugu kazi yako hiyoooo ipo hatua za mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…