wakuu nimeona maujanja haya ,kwa hiyo wale wapenz wa kitabu cha nyuso ,,kwa sasa mnaweza kutengeneza chat message zenye langi nzuri
chakufanya type maneno kwenye
hii web afu bonyeza generate
basi zitatokea codes ,zikopy na kuzipaste kwenye chat box afu minya enter
you are well to go,,,ENJOY THIS
NOTE:hii haitatumika ku-post na pia simu lazima iwe na uwezo mkubwa kuja kusoma hizi codes so hakikisha unayemtumia anatumia computer for better results
kama umeipenda usisahau ku-gonga like