Hawa ni mashosti wakubwa tokea wakiwa TMA Monduli, tulipo hivi sasa tunaendeshwa na genge la hawa wahuni watatuKwa hili la Kusema WATU wazuri HAWAFI binafsi naamini ALILIPANGA Muda mrefu Wenye AKILI KUBWA tunajua kwanini Kalisema na Alimlenga/ Kuwalenga kina NANI ila Tunamwambia Mzee YUSUF MAKAMBA ya kuwa MUNGU HADHIHAKIWI yeye pia ni MAVUMBI hataishi Milele pamoja na hao WAZURI wakina KINANA na KIKWETE ipo siku MAVUMBINI atarudi.
Unapompa mtu uongozi kwa kuimbisha mchakamchaka unategemea nini?Wadau NAWASALIMU
Pamoja na Mh.RAIS kusema Mzee Makamba Ulimi Uliteleza binafsi SIAMINI hivyo kwani Huyu MZEE kabla ya Kuyazungumza hayo ndani ya KIKAO alipokuwa nje ya UKUMBI aliropoka Mambo mengi ambayo kwa UMRI wake na Nyadhifa alizopitia Hakustahiri kuyasema MZEE alionekana mwenye JAZBA labda kwa kuwa Swali aliloulizwa lilimhusu Mtoto wake January la Kukatika katika kwa Umeme.
Kwa hili la Kusema WATU wazuri HAWAFI binafsi naamini ALILIPANGA Muda mrefu Wenye AKILI KUBWA tunajua kwanini Kalisema na Alimlenga/ Kuwalenga kina NANI ila Tunamwambia Mzee YUSUF MAKAMBA ya kuwa MUNGU HADHIHAKIWI yeye pia ni MAVUMBI hataishi Milele pamoja na hao WAZURI wakina KINANA na KIKWETE ipo siku MAVUMBINI atarudi.
View attachment 2440876
Kama kuna waropokaji wakubwa kuwahi kutokea nchi hii huwezi kuwaacha YM na mwendazake...Magufuli aliwahi kuuliza, " Wanawake mnataka kupanuliwa wapi.."
..exactly.Kama kuna waropokaji wakubwa kuwahi kutokea nchi hii huwezi kuwaacha YM na mwendazake.
Ongea zao totally disconnected na brains; wanakuja kufikiria baada ya matamshi kuwatoka.
Kuna siku nili comment kuwa Bumbuli hatuna mbunge watu wakaona oooh namsema vibaya MbungeWadau nawasalimu,
Pamoja na Rais kusema Mzee Makamba ulimi uliteleza binafsi siamini hivyo, kwani huyu Mzee kabla ya kuyazungumza hayo ndani ya kikao alipokuwa nje ya ukumbi aliropoka mambo mengi ambayo kwa umri wake na nyadhifa alizopitia hakustahili kuyasema.
Mzee alionekana mwenye jazba labda kwa kuwa swali aliloulizwa lilimhusu mtoto wake January la kukatika katika kwa umeme. Kwa hili la kusema watu wazuri hawafu binafsi naamini alilipanga muda mrefu. Wenye akili kubwa tunajua kwanini kalisema na alimlenga/kuwalenga kina nani.
Ila tunamwambia Mzee Yusuf Makamba ya kuwa, Mungu hadhihakiwi, yeye pia ni mavumbi hataishi milele pamoja na hao wazuri wakina Kinana na Kikwete, ipo siku mavumbini atarudi.
View attachment 2440876
Igweeee umenena kweli kabisa..exactly.
..maneno ya Mzee Makamba ni mepesi sana ukilinganisha na kauli mbaya alizopata kutoa Magufuli.
..genge la Magufuli walikuwa na mipango mikubwa na ya muda mrefu.
..kifo cha bwana mkubwa kimewatibua na kuwachanganya kwelikweli.
..wana hasira, wana machungu, wana husda, na wana chuki na kila mtu.
Umenena vema.Wadau nawasalimu,

Wewe unachuki na nani?,maana Magufuli hakutoki moyoni..exactly.
..maneno ya Mzee Makamba ni mepesi sana ukilinganisha na kauli mbaya alizopata kutoa Magufuli.
..genge la Magufuli walikuwa na mipango mikubwa na ya muda mrefu.
..kifo cha bwana mkubwa kimewatibua na kuwachanganya kwelikweli.
..wana hasira, wana machungu, wana husda, na wana chuki na kila mtu.
Wewe unachuki na nani?,maana Magufuli hakutoki moyoni
Bado haifuti ujinga aliofanya Makamba Snr jana...Magufuli alikuwa mropokaji, muongo, fisadi, mbaguzi, na katili.
Kuongea sana huponza kichwa,asamehewe!Wadau nawasalimu,