AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 592
Habar zenu jaman mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenz ambaye sijawahi fanyanae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wakiume na mwingine wakike mwezi hauishi bila kupandisha hayo mashetani yake. Pia majini mahaba hayo hayataki nizini na mpenzi wangu hata kumshika tu nishida. Kunasiku niliforce kupiga mate nusura aning'ate ulimi niliponea chupuchupu nikatoa ulimi fasta. Demu na mpenda sana nayeye naamini ananipenda huwa anadai nikisha muoa hayatakuwa na shida tena sababu itakuwa sio zinaa tena lakini hofu yangu ni kuwa nisije kuoa halafu mambo yakaendelea kuwa kama yalivo sasa mambo ya kuoa halafu unapangiwa masharti ya kulala na mkeo siyataki. Wataalam naombeni mnisaidie kwa ushauri au kwa anaejua dawa ya majini mahaba plz nisaidieni nimechoka kula kwa macho kilasiku
Karibuni kwa maoni yenu
Asante mkuu nitajaribuSiku mkienda kufanya
Tafuta nyungu weka chumbani huyo jini atakuwa mpole na hatokusumbua
Duuuuh hatari sana kama ndo ivoKuna rafiki yangu mmoja yalimkuta kama haya mgegedo wake ulilala kama mwezi, Mpaka kafanyiwa madawa ya kienyeji ndio ukaja juu. dadeki zake alikoma kuchukuwa wanawake wenye mizuka
Haswaa hili ni lamsingi zaidiDogo hivyo ni vifungo. Tafuta salama Ya nafsi yako mapema
nyungu ndiyo nini?Siku mkienda kufanya
Tafuta nyungu weka chumbani huyo jini atakuwa mpole na hatokusumbua
Siku mkienda kufanya
Tafuta nyungu weka chumbani huyo jini atakuwa mpole na hatokusumbua
Sidhani kama ananinyima kiaina kwasababu mda mwingine yeye ndio huforce mazingira tufanye na huwa anajitahidi kutafuta solution kama kwenda kwa waganga lakin hawamsaidii chochoteisijew kuwa mdada anakunyima gemu kiaina anajifanya majini mahaba
Jambo la msingi sana hili mkuu lakin inahitaji imani kubwa sana sijui kama anaamini njia hiyo kama itamsaidiaUnatfuta dawa
Mungu pekee anaweza kumsaidia mchumba wako
Km we ni m islamu nenda kwa she
Km ni mkristo muone MCHUNGAJI au padre
Km nimekuboa nisamehe
Aaamin ktk mungu
Nyungu ni dawa inayotumika kutibu/kuwatuliza watu wenye majini hata awe mbishi vp lzm atatulianyungu ndiyo nini?