B Ba Brio Member Joined Mar 19, 2012 Posts 78 Reaction score 37 Sep 8, 2012 #1 Jmani Dawasco mko wapi huku ubungo kibo/rombo maji hayatoki kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Je kuna shida gani? Kwa nini msituarifu kupitia vyombo vya habari kuna shida gani?
Jmani Dawasco mko wapi huku ubungo kibo/rombo maji hayatoki kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Je kuna shida gani? Kwa nini msituarifu kupitia vyombo vya habari kuna shida gani?