It is Sur_Plus
Senior Member
- Sep 28, 2010
- 167
- 7
Katika hali tata Majaji wa Bongo star search Rita na Salama pamoja na Mmoja kati ya washiriki wa top 5 wamegeuza wimbo wa AMOR wa Msanii Kasimu Wa tiptop kuwa wa Baby Madaha, lichaya Master Jay kuwakanusha kwakuwa Wimbo huwo umetengenezwa katika studio za MJ RECORD chini ya Marco Chall.
Ukwel nikwamba B. Madahb anawimbo wenye jinakama hilo la Amore ambao amefanya B.HIT china ya Pancho na si ule ulio imbwa na mshiriki wa BSS
Ni maajabu ya dunia, wimbo ule ni wa Kassim
Af natabiri mzungu atachukua ml. 30. Yatakuja yale ya miss tz 2006 kale kahindi
tasafali ni waziri gani huyo?Wanajipaisha waziri awakubali.
Hivi mmecheki lile gari ambalo waziri amekuja nalo hapo ml. Cíty ameingia na limusine nyeupe usipime yaa kama tozi flan kutoka majuu
Mzungu yupo fit kwenye sauti
tasafali ni waziri gani huyo?
Jamani tukiweka ubaguzi pembeni huyu Mzungu ni creative,anajifunza,anaperfom vizuri vyote kwa wakati mmoja...na ana kichwa kizuri cha kukariri neno kwa neno!
Jamani tukiweka ubaguzi pembeni huyu Mzungu ni creative,anajifunza,anaperfom vizuri vyote kwa wakati mmoja...na ana kichwa kizuri cha kukariri neno kwa neno!