Majaji na mshiriki BSS Wageuza KASIMU wa Tiptop kuwa BABY MADAHA

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Katika hali tata Majaji wa Bongo star search Rita na Salama pamoja na Mmoja kati ya washiriki wa top5 MWINYI wamegeuza wimbo wa AMOR wa Msanii Kasimu Wa tiptop kuwa wa Baby Madaha, lichaya Master Jay kuwakanusha kwakuwa Wimbo huwo umetengenezwa katika studio za MJ RECORD chini ya Marco Chall.
Ukwel nikwamba B. Madahb anawimbo wenye jinakama hilo la Amore ambao amefanya B.HIT china ya Pancho na si ule ulio imbwa na mshiriki wa BSS
 
Mie pia cja waelewa kwamba Kasimu hafahamiki au yule mshiriki hajui alichokua akifanya
 
Katika hali tata Majaji wa Bongo star search Rita na Salama pamoja na Mmoja kati ya washiriki wa top 5 wamegeuza wimbo wa AMOR wa Msanii Kasimu Wa tiptop kuwa wa Baby Madaha, lichaya Master Jay kuwakanusha kwakuwa Wimbo huwo umetengenezwa katika studio za MJ RECORD chini ya Marco Chall.
Ukwel nikwamba B. Madahb anawimbo wenye jinakama hilo la Amore ambao amefanya B.HIT china ya Pancho na si ule ulio imbwa na mshiriki wa BSS

Ni maajabu ya dunia, wimbo ule ni wa Kassim
 
Wanajipaisha waziri awakubali.
Hivi mmecheki lile gari ambalo waziri amekuja nalo hapo ml. Cíty ameingia na limusine nyeupe usipime yaa kama tozi flan kutoka majuu
 
Af natabiri mzungu atachukua ml. 30. Yatakuja yale ya miss tz 2006 kale kahindi
 
Jamani tukiweka ubaguzi pembeni huyu Mzungu ni creative,anajifunza,anaperfom vizuri vyote kwa wakati mmoja...na ana kichwa kizuri cha kukariri neno kwa neno!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom