Maisha si kitu, ispokuwa utu!

Ntobhoshogu

Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
10
Reaction score
29
Ukitaka uishi kwa Amani duniani, kaa kimya (jifanye huyaoni)
lkn ukitaka uishi kwa pressure na misukosuko, uwe mkweli na mpinga ukandamizaji
hapo utakuta.
lkn kipi bora?
Aheri uwe mkweli hata kufa ukitetea iliyokweli, maana maisha si kitu, ispokuwa utu.
maana mwisho wa binadamu ni kifo tu, haijalishi umekufa vipi, lkn unatarajia nini baada ya kufa? hilo ndo fumbo ambalo kila mmoja atalifahamu baada yakuhitimisha makazi yake hapa duniani! japo waweza bashili matokeo ya mtihani wako sababu wajua umejibu nini?
PENDANENI PENDANENI, KUMBUKA MUNGU SI MNAFIKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…