Main contractor new Salender bridge ni nani?

MUUZA NGADA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
340
Reaction score
497
Nimeona Kwenye Mtandao Wa Lemutuz Kuwa Ujenzi Umeanza ila Kwa Mujibu wa Picha zile sijaona Hasa main Contractor Ni Nani?

Mwenye kumjua Aniambia aisee

Source: Lemutuz
 
Watu weupe/waasia wajanja sana, wanatoa mkopo/msaada, then masharti kuwa contractors watoke kwao.
 
HAKISHAPEWA PERMIT NUMBER NDIPO ATAKUWA ANATAMBULIKA NCHINI NA KUJIMILIKISHA UBAO MMOJA SITE.
 
Mtoa post umeshiba makande! Hayo mabango hata yajakamilika kuwekwa kama ulivyopost hapo alafu unatuuliza contractor ni nani? Si ubgesubiri wamalizie, acha kuendelea kuishi kwa shemeji, anza kujitegemea!
 
Kwaio daraja la wami halina tija sasa si ndio? Au wanatala kurahisisha shuguhuli ile ya .................Sisi Tv
 
Mtoa post umeshiba makande! Hayo mabango hata yajakamilika kuwekwa kama ulivyopost hapo alafu unatuuliza contractor ni nani? Si ubgesubiri wamalizie, acha kuendelea kuishi kwa shemeji, anza kujitegemea!
Cjui Umeishia Form 4 ww? Au Cjui Una Diploma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…