Mahusiano

Maggie1

Member
Joined
May 19, 2014
Posts
12
Reaction score
13
Habari wapendwa!

Mimi ni msichana ambae niko single, natafuta mwenza ambae yuko siriaz, najua wengine watanidhihaki, wengine watasema mtandaoni si mahala pake ila mimi nina amini mapenzi popote, kwani nina ushahidi wa watu ambao wameshafanikiwa kwa njia hii. Sifa ni simple tu awe na elimu ya chuo, awe na kazi au biashara ya kueleweka, lazima awe MKRISTO na umri ni kuanzia miaka 35. Alie interested ani PM.


By the way, najua wapo watakaoshangaa kwamba nimejiunga muda mfupi mara natafuta mchumba, well hilo ndo lengo kuu lililonifanya nikajiunga humu.
 
Karibu jf....
nna kaka angu anahitaji mke naweza kuku pm?
 
umempata mama yani humu wapo kibaaao utajichagulia tu..
 
He he he he he he he he yani jf stress freeeeeeee :loco:
 
Du very defensive.......!!!! Umejuaje yote hayo nawe ni mgeni....
 
me me njoo tupigage game tu bt ndoa hapanaaa
if i can get free milk y keep a cow sasa toto maggie1
 

Miaka 35?
we una miaka mingapi??

Andika unatafuta mzee mwenzako
 
Punguza miaka hiyo mpaka 27yrs uone timbwili lake, lakini kwa 35yrs wengi wako kwenye ndoa
 
Maggie1 bado mwaka mmoja tu utanisubiria? Natafuta mke
 
Last edited by a moderator:
Ningependa hizi ID mpya za kutafuta wachumba ziwe merged tupate ID za zamani!

Mods pls, the nidful
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…