Naheshimu mawazo yako ila hili naona kama Gahawa.Halafu nasikia mishale yao ina macho....akiutuma kwako lazima ukutafute mahali ulipo na ukusalimie kwa adabu iwe utosini, kifuani, mgongoni popote pale utakapoelekezwa. Waulize wamasai watakwambia habari zao.
Mkuu uisome mara mbili tatu utaelewa...kwa msaada zaidi namna ya kuelewa nilichokiandika. Watafute Wamasai waliowahi kukumbana na jamii hii katika harakati zao za "kukusanya" ng'ombe wanaodhani ni mali yao!Naheshimu mawazo yako ila hili naona kama Gahawa.
Sawa Mkuu asante kwa ufafanuziMkuu uisome mara mbili tatu utaelewa...kwa msaada zaidi namna ya kuelewa nilichokiandika. Watafute Wamasai waliowahi kukumbana na jamii hii katika harakati zao za "kukusanya" ng'ombe wanaodhani ni mali yao!
Hahahaaa. labda ndio maana wanazaana taratiiiiiiibu.Duuuu hao nyani hakuna mbadala au kubadilisha kuwa fedha? Maana watu mia wakienda huko tunapoteza nyani 200. Tunamaliza mbuga zetu