mafisadi wamefanya kazi hiyo ili kupoteza ma file yenye kesi zao. Is the story kama alivyofanya mkapa ikulu. Jamani tuamke na tuamue kisha tufanye kwa vitendo.
nothing else, kuna mpango wa kuchakachua ma docs kazaa huko, hizo zote mbinu za mafisadi! Hao jamaa wamejipanga vya kutosha na wao ndio wanaongoza nchi. Mkwere ni picha tu hana lolote.