Haya sasa wanakigamboni.., Magufuli alowambia kama huna nauli ya pantoni ogelea, anafaa kuwa rais wenu au hafai?!!
Coz nahisi akiwa rais mtaogelea mpaka mkome
Tatizo watanzania tunapenda kupewa lugha za uongo ambazo kwa sasa hatuzitaki, alichokisema mh maghufuli i sahihi, na ataendelea kusimamia ukweli. Mtampenda tu