L Livejr JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,073 Reaction score 2,812 Nov 22, 2015 #21 Si umeshajua hana cheo chochote zaid ya uanachama..? Unajua Ccm jins utaratibu wa kuwa m/kit unavyokuwa baada ya kufanyika uchaguzi wa ndani wa Chama..? Je kijana unajua kazi ya Rais au hizi siasa umeanza kufuatilia mwaka huu..?
Si umeshajua hana cheo chochote zaid ya uanachama..? Unajua Ccm jins utaratibu wa kuwa m/kit unavyokuwa baada ya kufanyika uchaguzi wa ndani wa Chama..? Je kijana unajua kazi ya Rais au hizi siasa umeanza kufuatilia mwaka huu..?
M masssaiboi JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 636 Reaction score 134 Nov 22, 2015 #22 Obama sio mwenyekiti wa chama chake