doctors plaza heart clinic ni hospital inayotibu magonjwa ya moyo na pressure, pia wana maabara ya kisasa. wanapokea bima ya Afya. simu ni 075 967 4616 au 071 967 4616.
doctors plaza heart clinic ni hospital inayotibu magonjwa ya moyo na pressure, pia wana maabara ya kisasa. wanapokea bima ya Afya. simu ni 075 967 4616 au 071 967 4616.
Kwa nini unawapigia promo? Madaktari ni wazungu au wanatoka muhimbili?
Au una mtu aliyetibiwa na kupona hapo? Tupe details kamili ili tuwasaidie wanaotaabika
Naomba unijulishe kwa kifupi jinsi ya kupata hiyo juice ya aloe vera maana bp ina nisumbua sana, inapanda
na kichwa kinauma, je hizo aloe vera zinazouzwa kwenye supermarket ambazo ziko flavoured zinafaa pia kama tiba ya bp? Mzizi naomba msaada please.