pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Safi sana. Muifatilie na hii kama wakenya na KWS walivom'track' hadi akaingia Serengeti, hivi ni vitu ambavyo sio vya kupuuzwa. Kule S.A walimuona punda milia kama huyo alafu wakamnasa, binadamu buana!Polka-dotted zebra leaves the Mara for Tanzania
The rare zebra foul was spotted crossing the sand river to Serengeti in Tanzania.www.theeastafrican.co.ke
Safi sana. Muifatilie na hii kama wakenya na KWS walivom'track' hadi akaingia Serengeti, hivi ni vitu ambavyo sio vya kupuuzwa. Kule S.A walimuona punda milia kama huyo alafu wakamnasa, binadamu buana!
[emoji1][emoji1][emoji1] Huyu wakimgusa tu hivi watakuwa wamemtia najis za koroshow.Huko kwao atatoweka kama alivyotoweka faru John.....