Attainer Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 433 Reaction score 824 Jul 27, 2024 #21 Shadow7 said: Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM Click to expand... Bora x3 kuliko x5. Kwanza kabla ya kununua haya magari ujue series za engine zinazofit kwenye hiyo gari na engine ipi iliyofanikiwa kwenye hiyo gari kisha nunua hiyo gari ikiwa fitted na hiyo engine iliyofanikiwa.
Shadow7 said: Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM Click to expand... Bora x3 kuliko x5. Kwanza kabla ya kununua haya magari ujue series za engine zinazofit kwenye hiyo gari na engine ipi iliyofanikiwa kwenye hiyo gari kisha nunua hiyo gari ikiwa fitted na hiyo engine iliyofanikiwa.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,810 Reaction score 55,619 Jul 27, 2024 #22 best n said: Ina shida gani mkuu? Click to expand... Shida ya misfire pamoja na system lean mkuu
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,520 Reaction score 7,292 Jul 27, 2024 #23 Shadow7 said: Shida ya misfire pamoja na system lean mkuu Click to expand... Pole bro, chukua Mazda CX5 hutojuta
Shadow7 said: Shida ya misfire pamoja na system lean mkuu Click to expand... Pole bro, chukua Mazda CX5 hutojuta
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,279 Reaction score 185,557 Jul 27, 2024 #24 Hakika... Cc: Mahondaw
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,810 Reaction score 55,619 Jul 27, 2024 #25 Sizinga said: Pole bro, chukua Mazda CX5 hutojuta Click to expand... Shukrani mkuu. Kama iko bora nitaichukua
Sizinga said: Pole bro, chukua Mazda CX5 hutojuta Click to expand... Shukrani mkuu. Kama iko bora nitaichukua
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 29,145 Reaction score 51,818 Jul 27, 2024 #26 Gushleviv said: View attachment 3049325 Click to expand... List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa
Gushleviv said: View attachment 3049325 Click to expand... List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,856 Jul 27, 2024 #27 Shadow7 said: Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM Click to expand... Iuze ununue magari pendwa toka Japan! Magari ya Ulaya na USA mazuri sana, changamoto zake ni kupata mafundi wazuri wa kuyatengeneza na pia wakati wa kuiuza utaiuza kwa bei ya hasara.
Shadow7 said: Hiyo BMW X5, 13 Ninayo hapa sijui nani alinishauri ninunue imenifanya nimechukia kampuni ya BM Click to expand... Iuze ununue magari pendwa toka Japan! Magari ya Ulaya na USA mazuri sana, changamoto zake ni kupata mafundi wazuri wa kuyatengeneza na pia wakati wa kuiuza utaiuza kwa bei ya hasara.
julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,341 Reaction score 4,573 Jul 28, 2024 #28 tamsana said: Naona Toyota lovers wanatabasamu tu. Click to expand... unyama sana.napitaga town nOna wana wanavojitoq ufahamu. toyota is for africa
tamsana said: Naona Toyota lovers wanatabasamu tu. Click to expand... unyama sana.napitaga town nOna wana wanavojitoq ufahamu. toyota is for africa
B best n Member Joined Aug 31, 2015 Posts 25 Reaction score 21 Jul 29, 2024 #29 Shadow7 said: Shida ya misfire pamoja na system lean mkuu Click to expand... Aaah ok
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,457 Reaction score 5,322 Jul 30, 2024 Thread starter #30 Detective J said: List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa Click to expand... Soma heading ya Tangazo uelewe,punguza ujuaji.
Detective J said: List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa Click to expand... Soma heading ya Tangazo uelewe,punguza ujuaji.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,530 Reaction score 46,614 Jul 31, 2024 #31 Toyota haipo kabisa, hawa jamaa ni noma..
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,457 Reaction score 5,322 Jul 31, 2024 Thread starter #32 FRANCIS DA DON said: Toyota haipo kabisa, hawa jamaa ni noma.. Click to expand... Ndio ujue kuwa Toyota ni gari uhakika, hilo halina ubishi.
FRANCIS DA DON said: Toyota haipo kabisa, hawa jamaa ni noma.. Click to expand... Ndio ujue kuwa Toyota ni gari uhakika, hilo halina ubishi.
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,856 Aug 6, 2024 #33 Gushleviv said: Ndio ujue kuwa Toyota ni gari uhakika, hilo halina ubishi. Click to expand... Umekaririshwa Toyota tu! πππ
Gushleviv said: Ndio ujue kuwa Toyota ni gari uhakika, hilo halina ubishi. Click to expand... Umekaririshwa Toyota tu! πππ
the say JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,774 Reaction score 3,369 Aug 6, 2024 #34 Kuna jamaa yangu alinitumia sms " achana na mawazo ya kununua tiguan" Naomba kumshukuru sana
Feiaidan JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 237 Reaction score 130 Aug 18, 2024 #35 the say said: Kuna jamaa yangu alinitumia sms " achana na mawazo ya kununua tiguan" Naomba kumshukuru sana Click to expand... Tiguan ina shida gani
the say said: Kuna jamaa yangu alinitumia sms " achana na mawazo ya kununua tiguan" Naomba kumshukuru sana Click to expand... Tiguan ina shida gani
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Aug 18, 2024 #36 Detective J said: List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa Click to expand... Wenzetu wamefanya kwa vipimo sisi tunatumia macho ndipo ilipo tofauti
Detective J said: List ina walakini, toyota hakuna, hapo kwenye Benz GLS series wamekosea kabisa, japo kuwa ni expensive but imara, kwa subaru ni sawa kabisa Click to expand... Wenzetu wamefanya kwa vipimo sisi tunatumia macho ndipo ilipo tofauti
Dumelang JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 3,267 Reaction score 5,854 Aug 19, 2024 #37 Toyota will live everyone's dream
R raylin Senior Member Joined Mar 7, 2019 Posts 179 Reaction score 265 Sep 23, 2024 #38 Lavit said: Hivi Nissan Dualis zina shida gani mbona bei kitonga sana huku mtaani! Click to expand... Ni kwl aisee unakuta gari mbichi kabisa unaambiwa 12.5m
Lavit said: Hivi Nissan Dualis zina shida gani mbona bei kitonga sana huku mtaani! Click to expand... Ni kwl aisee unakuta gari mbichi kabisa unaambiwa 12.5m
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,571 Reaction score 12,208 Sep 24, 2024 #39 Gushleviv said: View attachment 3049325 Click to expand... Sijaona Mitsubish Pajero. Inaonekana ni gari ya kuaminika
Gushleviv said: View attachment 3049325 Click to expand... Sijaona Mitsubish Pajero. Inaonekana ni gari ya kuaminika
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,457 Reaction score 5,322 Sep 25, 2024 Thread starter #40 Msingida said: Sijaona Mitsubish Pajero. Inaonekana ni gari ya kuaminika Click to expand... Itakuwa kuna vitu wameangalia
Msingida said: Sijaona Mitsubish Pajero. Inaonekana ni gari ya kuaminika Click to expand... Itakuwa kuna vitu wameangalia