Magari Sokoni (Commission inatolewa)

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Wadau gari zinauzwa na ukiniunganisha na mteja akanunua natoa 150k kwa gari au kama tutauza bei juu ya nlipanga mie tofauti ni ya kwako.

Nitumie PM kupata full details za magari.

2004 Toyota Premio (12.5m)
2005 Toyota Passo (7.5m)
2003 Toyota IST (11.0m)
2004 Toyota Raum (11.0m)
2004 Toyota Sienta (9.3m)
2005 Toyota Porte (8.6m)
 

Attachments

  • 1423143439186.jpg
    141.6 KB · Views: 1,723
mkuu nicheki whatsapp nina wateja wa ist kama watano ila wana 10 mil (0713774746)
 
mkuu nicheki whatsapp nina wateja wa ist kama watano ila wana 10 mil (0713774746)

Boss huyo mteja namjua anataka 2005 IST tano kwa 10.7m but hajapata mpaka sasa sababu bajeti yake iko chini. Gari zina bei ndugu...
 
Na kama nataka kununua mwenyewe........kuna mazungumzo..........?.........
 
Boss hizi prices ni lower than Market prices.. kwa mfano Premio zinauzwa 13 mpaka 14. Uliza dealers watakwambia au nenda showroom

this can not be serious. you guys are making a lot of money then.
 
this can not be serious. you guys are making a lot of money then.

Sio kama unavofikiri mkuu unaweza jaribu na wewe. Faida kubwa zilikua zamani lakini sio wakati huu wa uwazi ambao gharama za kuagiza gari zafahamika
 
Poa jamaa yangu alikuwa na 9m,ngoja aagize toka japan mwenyewe
 
Hivi premio nikiagiza mwenyewe itanicost kiasi gani?
 
Premio Kaka kama uko serious nipm details tuone kama 9.5M unauza.
 
Poa jamaa yangu alikuwa na 9m,ngoja aagize toka japan mwenyewe

Duh kwa experience yangu hio pesa atapata Vitz new model lakini Premio hata kwa 10m hapati labda kama ni D4 engine
 
kuna 6m cash hako ka passo.. Hata muda huu tunaweza kufanya biashara.. Kama vp ni pm tumalize
 
Nimeweka namba ya siku huko ☝☝ nlisahau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…