Zinahitajika kwa ajiri gani mbona unaandika huku unakimbia?Zinahitajika Suzuki Swift from 2003, Suzuki Escudo frm 1995 na RaV4 from 1998 mileage zisizidi 100k, ziwe 5 door, ziwe kwenye hali nzuri sana. Tuma picha ya gari pamoja na offer yako kwenye hopemjema@yahoo.com nitaweza kuyakagua magari yalioko Dar na Arusha. Kwa maswali zaidi waweza kutuma PM.
[I said:mileage zisizidi 100k[/I]
Unamaanisha 100,000km au 100km ? Kama ni 100 km ni vigumu kuikuta Dar au Arusha. Agiza moja kwa moja kutoka Japan na tegemea bei juu. Kuna ndugu yangu aliagiza Swift ya 2004, 25,000 km alikohoa USD 4900 CIF.
sorry unaweza ku-google matumizi ya gari utayapata. Au ulimaanisha nini?
Zinahitajika Suzuki Swift from 2003, Suzuki Escudo frm 1995 na RaV4 from 1998 mileage zisizidi 100k, ziwe 5 door, ziwe kwenye hali nzuri sana. Tuma picha ya gari pamoja na offer yako kwenye hopemjema@yahoo.com nitaweza kuyakagua magari yalioko Dar na Arusha. Kwa maswali zaidi waweza kutuma PM.
Mkuu mimi ninayo premeo new model unahtaji?iko arusha