Ni kweli ni dawa ya muscles au viungo, unajichuwa nayo. Ila watu wengine wanaamini ukimpa mtoto wako kiasi fulani eti akiwa mkubwa atakuwa jasiri na mkali!!! Sasa hapo tena ni hatari maana kwa ambao ninawafahamu wametumia mafuta ya simba ni wakali mno na hasira juu, hawakamatiki. Nawashauri acha mtoto awe natural kwa tabia yake ya asili achana na artificials. Labda kama atakuwa jasiri wa kuchangia issues bila woga JF basi mpe!!!!