VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
we mtu wa aina gani jamaa hata nje ya Tanganyika hujawahi kufika...unaenda kama boya tu😛oakwani zanzibar kuna magari? mimi nilifikiri kuna baiskeli na mitumbwi tu...!
EWURA?....Jee EWURA inaihujumu zanzibar
ZANZIBAR SI NCHI: Mh. Mizengo kayanza peter Pinda
Nyie wazenj, mafuta ya kuagiza nchi za nje mnasema ni suala la Muungano lakini mafuta ya kuchimba sio ya muungano!! Eboo nyie vipi mnataka kula visheti vyenu halafu mnataka mbaki navyo?