Mafundi wa Aluminium tunapatikana

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu wadau wa JF sisi ni mafundi wa kutengeneza milango, madirisha nk ya aluminium kwa ustadi na bei nafuu tunaweza pia kusimamia kuondoa madirisha ya mbao na kuweka grill na kisha aluminium kwa rangi utakayopenda mteja wetu hapo chini ni baadhi ya kazi zetu tupo Arusha mjini, ila tunaweza kufika kila eneo la Tz tutakapohitajika.
Mawasiliano 0752489529
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…