The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,880
- 10,476
Ok nashukuru mkuuKeyboard ni elfu 35 hadi 60 kwa Pc za kizamani.
Kuhusu cover labda ukatafute machinga complex au kwa mafundi wenye makorokoro mengii
Siyakudumisa Thixo
Ukumbukage kuweka model ili uweze kusaidiwa kwa urahisi zaidi.
Nauliza naweza kupata wapi mother board ya Hp G43 Laptop?