Mafanikio nini? Soma hapa

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
501
Reaction score
791
Mafanikio sio kuwa na fedha na mali pekee

Mafanikio pia ni kuwa na amani ya moyo

Mafanikio pia ni kubadilisha jamii kifikra, mawazo, kiimani.

Mafanikio pia ni kuleta mabadiliko chanya katika jamii

Mafanikio pia ni kuwa na familia bora na yenye amani.

Mafanikio pia ni kuwa mtu chanya katika jamii(positive people).

Mafanikio pia ni kukua kiimani, kiakili na kihisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…