RAHA KAMILI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 203
- 84
Hii benki ya akina nani?
Baadhi ya wateja wakipata huduma za kibenki katika tawi la Maendeleo Benki lililofunguliwa leo jijini Dar es Salaam.
na bakwatsInamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
na bakwats
Sasa Mkurugenzi mbona sio M-KKKT?
Hii benki ya akina nani?
Mwenye kujua riba zao tafadhali