Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,248 Reaction score 98,242 Feb 11, 2014 #1 Kufuatia dakata la EFD kati ya wafanya biashara na TRA leo Mwanza maduka yote yamefungwa na police wanazunguka na vipaza sauti kuwasihi wafanyabiashara wafungue na kuahidi kuwalinda.
Kufuatia dakata la EFD kati ya wafanya biashara na TRA leo Mwanza maduka yote yamefungwa na police wanazunguka na vipaza sauti kuwasihi wafanyabiashara wafungue na kuahidi kuwalinda.
K Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2010 Posts 850 Reaction score 103 Feb 11, 2014 #2 KODI LAZIMA ILIPWE. Hata wafanyaje
G Gfather Member Joined Dec 24, 2012 Posts 15 Reaction score 0 Feb 11, 2014 #3 Hivi suala ni kutokuwa na uelewa ama hawajui Matumizi ya kodi?