Madiwani wa CUF BK Kuingia CDM

Joined
Jun 14, 2010
Posts
63
Reaction score
43
wait wait a minute ....Dismus Mutasingwa wa Rwamishenye....Akithibitisha nitawambia
 
mkuu tunasubiri updates
 
Ametoa salamu za awali kisha atarudi kutangaza rasmi. Sasa anahutubia mwana Mama. Anawahamasisha wanawake wenziwe kuingia CDM.
 
Kumbe wa mama wa kihaya si kidogo yaani wamejaa uwanjani ni balaa.
 
Dah! Kumbe suala la Zitto na sahihi ilikuwa Mkakati wa CDM na Zitto alipewa jukumu kuongoza Kamati. Lwakatare anabainisha.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…