Madini yapo ardhini, unazungushaje ukuta huku juu?

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,100
Madini yapo ardhini, unazungushaje UKUTA huku juu??

Au amesahau kuwa kuna kina El Chapo Guzmane.??

Naomba kueleweshwa........
 
Sasa we mangi na wewe unashangaza.
Hivi kama hutaki kushaurika si tukupigie tu makofi????
Zamani waliohai walizikwa na mtemi.
Vipi kwenu ZILIPENDWA????
 
naanza kuchonga manati yangu kama ile Ya vijana wa Mexico, mzigo unarushwa kutoka mbuguni mpaka bomagombe mi naufuata kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…