Mademu wa DSM punguzeni njaa

Bado hamjamuelewa RAIS kuhusu dhana ya ubanaji wa matumizi. Namba ya kazi gani? yaani nikajaze vocha nimpigie nimwambie ujinga naye aukubali alafu tukafanye ujinga na hela nikatoe na kuchoka humohumoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

mm nikiridhika na bidhaa njiani, nabadilishana nayo namba..nahakikisha ameiandika kabisa ameisevu namba yangu nami yake...alafu hataona napiga simu wala sms kumtumia. Nmefanikiwa sana ktk hiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna mmoja tulibadilishana no jion akanibeep, nilipompigia akaniambia hana hela ya kula, anadaiwa kodi ya chumba, simu yake ina matatizo na mambo mengine mengi
kopa vicoba milioni 3 umpatie.
 
hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…