Wewe unachukua mita ngapi kuomba papuchi? tuanzie hapa
Haha akikujibu nitagWewe unachukua mita ngapi kuomba papuchi? tuanzie hapa
Bila Shaka wamekusikia mkuu,wataongeza mita 200Salute. Kiukweli tangu nimeingia hapa takribani miaka 6 nimegundua ni moja ya jiji la starehe kuliko yote hapa nchini kinachonipa shida moja wanawake wa huku ni vicheche sana si wote lkn ukijabu kumuomba no ya simu labda uko barabarani au hata kwenye basi kitu cha kwanza mna mkadiria wearing style mbaka viatu kama simu ni ya itel ya button huenda hata no asikupe sasa wakitoa no unaweza sema huyu mtt nimepata zali mkibadilishana no tu huchukui meter 100 ghafla anakuwa yatima matatizo hayaishi mbaka inakuwa kero mi Nawashauri ukitaka kudumu na mchepuko wako usitangaze njaa mapema vinginevyo mtu akupakia vumbi la kongo anakutumia siku moja anakutupia mbali.
Una kila sababu ya kupigwa kizinga, nakuuliza distance wewe unajibu time.hahaha almost week 2
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Una kila sababu ya kupigwa kizinga, nakuuliza distance wewe unajibu time.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]You will never hear a man with money complaining about women loving money, but these boys with coins.---Mugabe
hahahahaKuna mmoja tulibadilishana no jion akanibeep, nilipompigia akaniambia hana hela ya kula, anadaiwa kodi ya chumba, simu yake ina matatizo na mambo mengine mengi
ok meter 200 baada ya kuachanaUna kila sababu ya kupigwa kizinga, nakuuliza distance wewe unajibu time.
Haha u made my dayWewe unachukua mita ngapi kuomba papuchi? tuanzie hapa
Mwanaume wa mkoani kutwa kuwasema wanaume wa dar sasa mpaka Leo bado mademu wa dar wanakutoa jasho ... Rudi tu bush ukakimbizane na ngedere