madem madem madem!!!

Status
Not open for further replies.

baptist

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
434
Reaction score
279
Mnajirahisisha sana jaman mpaka kero, mtatuuwa mwaka huu.....
Kazen hata kistyle basi tuone ugumu wa kutongoza aisee, haya maisha siyataki natamani ya zaman kutongoza mwaka mzima...
 
wanataka watusaidie kuukaribisha mwisho wa dunia si ndo kama umalaya ulivyokua sodoma na gomola
 
Tuoneeni huruma we are searching for the real love
 
girl anayenitongoza mwenyewe huyo ndo namtaka nitajua ananifeel,siyo unamlazimisha mtu miezi 6
 
Aiyaaah! Aise mi sijatosheka, tena naomba wawe rahisi zaidi, si wameumbwa kwa ajiri yetu? Kwanini watunyime na kitu wanacho?
 
mh tuko tofauti sana misipendi sana msichana tuzungushane kama naomba uhai au kazi ....kuwa straight forward ndo inatakiwa kwamba bwana nimekufeel au potezea
 
Aiyaaah! Aise mi sijatosheka, tena naomba wawe rahisi zaidi, si wameumbwa kwa ajiri yetu? Kwanini watunyime na kitu wanacho?

Mkuu huyu hajui nin? "Walichopewa na mungu kumnyima mwanaume zambi"
 
ndo vizuri bana...sio kuzungushana maisha yenyewe magumu sana..
 
Wakat mwngne sis wanaume tumekuwa vigeugeu.....mwanamke akikukataa mnaanza oooh! Anajifanya mzur mara anataka mpaka pesa. Akikubali bila usumbufu tunaanza kumwita malaya/maharage ya mbeya......... Kitendo cha mwanamke kukùvulia pichu kwa ridhaa yake pasipo kufosiwa na mtu ujue amedhamilia kuwa na ww na ameguswa kwajins ulivyo au amekubaliana na ww kwa kila kitu, sasa mbona tunawageuka na kuwadharau?!!!
 
Mnajirahisisha sana jaman mpaka kero, mtatuuwa mwaka huu.....
Kazen hata kistyle basi tuone ugumu wa kutongoza aisee, haya maisha siyataki natamani ya zaman kutongoza mwaka mzima...

We vipi!? Acha kutuharibia bana:beer:
 
mh tuko tofauti sana misipendi sana msichana tuzungushane kama naomba uhai au kazi ....kuwa straight forward ndo inatakiwa kwamba bwana nimekufeel au potezea

we inaonesha ni Mteja wa Wahaya! Ukiwa na Tabia hiyo utaishia kula Malapulapu na Matambala ya deki, watoto wazuri sharti uwasumbukie!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…