Madaktari walioshiriki mgomo.

joline365

Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
26
Reaction score
8
Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuhusu kuanza kuhojiwa kwa madaktari walioshiriki kwenye mgomo na hatimaye kusitishiwa usajili na walisema wanaanzia Mbeya. Naomba mwenye updates ya kilichojiri na kinachoendelea mpaka sasa atujuze.
 
Ukianzaisha thread ujue jinsi ya kuindeleza. Update akupe nani sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…