mr hussein Member Joined Nov 1, 2016 Posts 54 Reaction score 37 Dec 15, 2016 #1 Ubaguzi huu wa kozi za walimu utaipeleka pabaya Elimu yetu......hata makazini walimu wengine watajiona bora kuliko wengine.
Ubaguzi huu wa kozi za walimu utaipeleka pabaya Elimu yetu......hata makazini walimu wengine watajiona bora kuliko wengine.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,949 Reaction score 6,785 Dec 15, 2016 #2 Kama wapo wa kutosha hao wakiajiriwa wataenda kufanya nini?