Vichaa walikuwa wanahamishwa hosptl 1 had nyingine kwa usafir wa ndege mazungumzo kat ya ruban na kichaa 1
KICHAA :naomba niendeshe
RUBAN: huwez we c unaumwa
KICHAA: nimepona
RUBAN: nakupa kaz kawa nyamazishe wenzako ukiweza nitaamin umepona nitakuruhusu uendeshe,
JAMAA AKAENDA MUDA KIDOGO KUKAWA KIMYA
RUBAN: Hongera sana kwel umepona umefanyaje waka kuelewa
KICHAA: NIMEWAFUNGULIA MLANGO WAMEENDA KUCHEZA NJE
RUBAN: Tobaaa hii kesi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums