Brainze11 Senior Member Joined Sep 2, 2012 Posts 173 Reaction score 56 May 20, 2017 #1 Jipatie diagnostic machine ndogo kwa ajili ya kupimia magari, Bei: Tsh 500000 Tunapatikana mbezi tangi bovu Mawasiliano: 0714704097
Jipatie diagnostic machine ndogo kwa ajili ya kupimia magari, Bei: Tsh 500000 Tunapatikana mbezi tangi bovu Mawasiliano: 0714704097
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,266 May 20, 2017 #3 Brainze11 said: Jipatie diagnostic machine ndogo kwa ajili ya kupimia magari, 0714704097 Click to expand... Kuweni siriaz na biashara, unaleta picha kwani hatuzijui? Andika bei na mahali uliko tukivutiwa tupige simu, alaaaa!
Brainze11 said: Jipatie diagnostic machine ndogo kwa ajili ya kupimia magari, 0714704097 Click to expand... Kuweni siriaz na biashara, unaleta picha kwani hatuzijui? Andika bei na mahali uliko tukivutiwa tupige simu, alaaaa!
M Makusudically JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,215 Reaction score 1,240 May 20, 2017 #4 Je inazo pia mashine za kujazia upepo hata ukiwa njiani?
Brainze11 Senior Member Joined Sep 2, 2012 Posts 173 Reaction score 56 May 20, 2017 Thread starter #5 Makusudically said: Je inazo pia mashine za kujazia upepo hata ukiwa njiani? Click to expand... Kwa sasa sina ila nakaribia kuziagiza soon zitapatikana
Makusudically said: Je inazo pia mashine za kujazia upepo hata ukiwa njiani? Click to expand... Kwa sasa sina ila nakaribia kuziagiza soon zitapatikana
M Makusudically JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,215 Reaction score 1,240 May 20, 2017 #6 Brainze11 said: Kwa sasa sina ila nakaribia kuziagiza soon zitapatikana Click to expand... Mi niko serious mkubwa wangu, Namba yangu ni 0755 55 88 33, niko WhatsApp pia, wala sitanii. Njoo WhatsApp in box yangu tujadili.
Brainze11 said: Kwa sasa sina ila nakaribia kuziagiza soon zitapatikana Click to expand... Mi niko serious mkubwa wangu, Namba yangu ni 0755 55 88 33, niko WhatsApp pia, wala sitanii. Njoo WhatsApp in box yangu tujadili.
Brainze11 Senior Member Joined Sep 2, 2012 Posts 173 Reaction score 56 May 20, 2017 Thread starter #7 Root said: Bei? Click to expand... Laki 5 mkuu