Fellas nnatatizo kwa laptop yangu aina ya macbook 2,1 inabehave strangly nimeichomeka kwa umeme ila imeweka x kwa icon ya battery afu inanipa ms plugged but not charging! Nimetest battery kwa laptop ingine imefanya kazi! Je ninawezaje fix hii tatizo? Kwa yeyote alowahi kutana au mwenye ufahamu wa shida hii tafadhali naomba tugawane ujuzi! Ni hayo tu!