Macbook pro haitoi sauti

Sangoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
344
Reaction score
165
Habari za majukumu?

Niko na macbook pro ya mwaka 2011 ili corrupt os sina hakika na os iliyo kuwemo awali nimejaribu kuweka os mbali mbali kama mac sierra, Mac OS X Snow Leopard zimekataa ikabidi niweke windows 10 64bit imekubali tatizo ni sound na camera havifanyi kazi nimejaribu kutumia bootcamp lakini tatizo la sound na camera limenishinda msaada wa kufix hili tatizo hata kwa kuweka os yake inayo support bila shida.
 
Weka drivers
kwann umehamia windows
 
Nilipe nikuwekee OS yake na drivers zote zitakuwa loaded njoo inbox kwa bei
 
Weka drivers
kwann umehamia windows

Driver nimeshaweka zote nazo jua mpaka kutumia bootcamp ni kwamba nimechemka kweli kweli nikiweka zake azimalizi mkuu ina stuck kwenye loading
 
Nilipe nikuwekee OS yake na drivers zote zitakuwa loaded njoo inbox kwa bei

Nilipo na wewe najua ni ngumu kunihudumia labda nije inbox unipe maelekezo ya namna ya kutatua tatizo langu ila ingekuwa poa tungeshare hapa kwa faida ya wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…