Habari wana JF, Laptop yangu ya apple late 13 inasumbua. niki switch on inafunguka hadi mwisho lakini mouse na keyboard vyote havifanyi kazi, na ikiwaka ile pointer inakwenda kona ya juu ya sreen upande wa kushoto. Inafanya kazi niki switch on katika safe mode tu. Naomba msaada wenu please.
Nawasilisha