Nyamaza basiI hate small storage of 256SSD
I hate small storage of 256SSD
Mac book pro 2012 . Core i 5, 256 ssd, 8gb ram, 13inch 2.3 ghz , inwtumika mwaka mmoja.
Bei maelewano karibun sanaView attachment 1040292View attachment 1040293
Sent using Jamii Forums mobile app
in jiwe's voice!I hate small storage of 256SSD
850k mkuu karibu sanaukiweka bei nitagi
mkuu unatumia kigezo gani kufananisha ssd na hddNdogo sana mzee ni sawa na HDD
Niuzie zote kamavipi850k mkuu karibu sana
Jembekillo Troll JF Pancras Suday Bahati furaha Behaviourist ,
hii mac nilinunua mwaka jana ikiwa na 500gb HDD ila nikareplace SSD, SSD ina speed kubwa sana ukifananisha na HDD bahati nzuri zote zipo ukitaka 500GB HDD nakupa tu uende nayo ila utajua tofauti yake kwenye booting tu sababu na mac mbili naweza kukuonyesha kabla hujaamua utumie ssd au hdd.
welcome.Niuzie zote kamavipi
shukrani, haina maslahi mkuu.
850k mkuu karibu sana
Jembekillo Troll JF Pancras Suday Bahati furaha Behaviourist ,
hii mac nilinunua mwaka jana ikiwa na 500gb HDD ila nikareplace SSD, SSD ina speed kubwa sana ukifananisha na HDD bahati nzuri zote zipo ukitaka 500GB HDD nakupa tu uende nayo ila utajua tofauti yake kwenye booting tu sababu na mac mbili naweza kukuonyesha kabla hujaamua utumie ssd au hdd.
nimekupata mkuu ila mimi niliagiza aliexpress sina ambazo zipo tayari mkononi.Nahitaji ssd atleast ya 128 na kuendelea two PCs niweke kwenye mac . Nataka nitoe hdd zake ni replace na ssd . Njoo inbox tuongee hii issue
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukiridhia 500k nishtuenimekupata mkuu ila mimi niliagiza aliexpress sina ambazo zipo tayari mkononi.
shukrani, haina maslahi mkuu.
Hahahaaaaaa sasa wewe lumumba buku 7 unalipi la kusemaNipo naona rais wa Mioyo yetu kasepa![emoji3][emoji3]