mbona umekariri mkuu....Ndio umeandika nin sasa??idiot kabisa
Msaidie tafadhaliNdio umeandika nin sasa??idiot kabisa
Umeeleweka mkuuUtakuta binti/mwanamke umezalishwa na mume wa mtu,halafu unatamba mitaani eti unapendwa sana na Baba Naniliuu, angekupenda si angemwacha mkewe akakuoa wewe?akishajua uzuzu wako anakugeuza kiwanda cha kuzalishia watoto anakuongeza mimba ya pili mpaka ya kumi, na hakuoi katu,kibaya zaidi anakupa masharti usiolewe au usiwe na mwanaume mwingine yeyote la sivyo atasitisha huduma kwa watoto wako,miaka inaenda anakuja kuwachukua wanawe,na anakwambia atawalea wanawe ila hawezi kuwa na mke zaidi ya mmoja ukipata mume olewa ,tayari umezalishwa watoto wawili watatu subiri uolewe na mzee mane wa miaka 70 ukalee wajukuuze.
Ukikosa mume ni bora uzae na mseja sio mume wa mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] (incubators)Waume wenye ndoa zao watakuja juu, maana unawarushia ndege zao a.k.a incubators.
Ndio amejua leooo hiyo msameheeembona umekariri mkuu....
Hiyo idiot haijakuacha salama
Thumb upUnamjibu nan we idiot??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu utamu wa kufanywa mashine ya kuzalishia watoto sio kabisa.Ukiona hivi jua mtoa mada kaumizwa na kimbilio pekee ni jf!
Ha ha haaaa Mme Wa mtu mtam si ndo maana anazalisha? Ha ha ha
Yani kachemka kweli, idiot haitumikagi kijingajinga hivyombona umekariri mkuu....
Hiyo idiot haijakuacha salama
anakujibu weweUnamjibu nan we idiot??