Mabibi harusi mnarembwa too much

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,928
Reaction score
61,054
Hivi huu ulimbukeni mnaupendea Nini mtu siku ya harusi anapelekwa saloon akitoka hapo mpaka anatisha makope ya bandia,nyusi zimeongezewa mtu anakuwa na sura mpaka inatisha.marangi rangi usoni make up mpaka Sasa inazidi.picha ninazo lakini sio vizuri kuzipost hapa mtandaoni jirekebisheni aseee mtu unaolewa badala upige make up Kias uwe natural uvutie wewe unadobekwa unakuwa Kama sanamu.
 
Sana sana ma bibi harusi wa kiswahili.

Nadhani nimeeleweka.

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Kuna mtu aliwahi kusema kwamba "wanawake hujipamba kwa ajili ya wanawake wenzao na sio wanaume", ndio maana hakuna kitu wanaume tutafanya kuzuia hili. Na ukiwagusa wanavyokuwa wakali sasa.

Mwanamke akijipamba kwa kiasi ni fireee ila for real siku hizi zimezidi, mtu akitoka salon unamsahau. Kaingia mzuri anatoka kituko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za mabibi harusi ingependeza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo kapata warembaji wasiyojua kuremba...

Kuna wengine wanarembwa wanapendeza haswa...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…