Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Hahaaa! Haijalishi mkuu, wa mkoani ni wa mkoani tuKatoka mkoani huyo
St Ivuga njoo mchukue mpwa wako hukuWanaume wa mkoani bana ni wasumbufu sana.Ubabe mwingi hata kwenye vitu kama hivi.Havihitaji ushujaa hivi bali ni KANUNI na taratibu tu.Huwa mnatucheka sana wakuu ila sasa mwenzenu huyooo pichani
dereva si asimamishe gari jaman? hahaha
Hahaaa! sie wengine tulizaliwa hapa hapa DarWamkoa. katika ubora wao.
kumbuka nawe ulipokuja Dar kwa Mara ya kwanza. uliamkia watu kwenye TV.