Mabasi ya Dar - Mwanza ni hatari!

na traffic wanatakiwa kuangalia hili.. magari ya dar to mwanza yanaongoza kwa kukimbizwa ila hayana mikanda.
 
Mwendo kasi hausababishi ajari bali ubovu wa magari na barabara kuwa mbovu, finyu na barabara kutokuwa na alama za barabarani ndio huchangia ajari kutokea.
 
Mza to dar kuna kama km's 1200 sa kwa spid ya kobe 80 kph utafika the next day, chakufanya vaeni mikanda wandugu coz spid tegemea hilehile.
 
Najifunza lugha ya "hottetonts/xhosa"!Ni mwendo wa xya,xe,xyi,xo,mxhi yaani sielewi hadi raha!
 
kipindi basi za zakaria zinakuja dar siku moja alifika shynyanga mjini(stendi ya zamani)saa kumi na mbili trafick wakamweka lock up kwa masaa mawili.
ALYS enzi inakuja dar nshafika saa tatu kasoro
NAJMUNISA nshaingia shinyanga saa moja na nusu
ALYS ya kahama ishanifiksha saa moja dar
Na siku moja kwenye ZUBERI kuna wamama walikaa nyuma walirushwa hadi wakatoa damu kpndi barabara inajengwa maeneo ya km unatoka manyoni unaelekea singida
 
Kuna mdau mmoja ametaja gari la Leina, inaitwa LEINA TOURS, route ya DAR - KAHAMA, ni balaa tupu. Nshawahi kutoka Kahama sa 12 asbh, sa 1 jioni, tulikuwa foleni ya Ubungo, hilo basi linaovertake mpaka mashangingi.

hii gari kwa mwendo hakuna mfano na wapo makini sio gari zingine kila siku ajari sijui kafara
 

Huu uandishi wa xx hatuutaki...peleka facebook,humo tupo watu na hishma zetu alaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…