Mabasi ya Dar - Mwanza ni hatari!


eeh bwanaa eeeh. we ni mXhosa?
 

Uandishi wa wanawake huwa siulewi mara kwa mara.
 
Huu uandishi wa hovyo sana,yaani haukubaliki asilani !!
 

Princess! ! Umenyweshwa nini mpk unashindwa kutamka vyema? ?
 

Unapungukiwa nini ukiandika kwa ufasaha lugha yetu nzuri ya kiswahili???
 
Hayo mabasi yanaitwa ndege za chini kwa chini. Ila hilo la kupasua kichwa hapo umeweka chumvi kupita kiasi
 

sijaelewa, ndo umeandika nini?
 
Ila kunaeatu wakiona unafunga mkanda eanakuona mshamba!Hongera bus za kusini hususan super feo huwa wanasisitiza sana abiria kufunga mkanda!
 
Ila kunaeatu wakiona unafunga mkanda eanakuona mshamba!Hongera bus za kusini hususan super feo huwa wanasisitiza sana abiria kufunga mkanda!

ha ha ha haaa scren touch bwana kweli majanga...
 
ni kweli wanaandika mpaka mitihan. sasa wanashindwa kuelewa wanasema matusi na kuwa ziro safi. halafu tena wanalalamika wameharibiwa max.
 
ni kweli wanaandika hivyo mpaka mitihan. sasa NECTA wanashindwa kuelewa wanasema matusi na kuwapa ziro safi. halafu tena wanalalamika wameharibiwa max.
 
Anavyoandika mpaka
kichefuchefu. Tabia za kifacebook peleka huko huko. Hapa ni magreat thinkers.
 
leina,kisibo,city boy moto wa kuotea mbali
 
Hiyo reina ni chuma cha pua siku moja nipo kahama iliingia pale saa moja kasoro toka siku ile nikiliona lile basi naishia kuguna tu
 
Na huu wingi wa ajali nchini zinazopoteza maisha ya Watanzania wengi kutokana na mwendo wa kasi na kutojali sheria za barabarani, wasafiri hamshirikiani kutoa onyo kwa dreva kwamba apunguze kasi na kujali sheria za barabarani ili kupunguza uwezekano wa kupata ajali!?
 
sasa hivi naona mbavu za leina zimelegea.ngoma imebaki kwa cityboy na kisibo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…