Naomba ufafanuzi kuhusu haya mabaka yaliyonitoka mabegani

keynessian

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
588
407
Habari za wasaa huu,

Leo nimeshtukia kuna hivo vitu vinaendelea kwenye mabega yangu.

Siwashwi wala sijiskii chochote

Imetokea sehemu zote mbili za mabega.

Hii inaweza kuwa tatizo gani.

IMG_2062.JPG

MREJESHO
Nashukuruni wakuu ni kitambo kidogo, nilishapona

issue ilisababishwa na kushare bench gym na nilionana na Dr nikapewa utaratibu wa kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi yalishawai nitokea kipindi natumia maji ya chumvichumvi Dodoma kama sio ivyo naisi huwa hautumii dodoki kujisugua ukiwa unaoga, hasa hiyo sehemu ya bega.

Nimawazo yangu hayo.

pujo
 
Utango - tango/mba. Tumia dawa. Unaambukiza. Ukikomaa unatoa unga unga.... jihadhari kushare nguo. Mataulo ya Guest hausi pia yanahusika hapo.
 
Back
Top Bottom