Weka neno Mzee Baba Kenya ipone maana tunategemea sana Wazee kama ninyi huwa mna hekima sana ndiyomaana hata mbinguni wapo Wazee 24.Time will tell.
Ruto piga hao wanaona nchi ni mali ya kabila lao usilegeze, mwaga moto watakuelewa, weka ulokole pembeni kidooogo. Waoneshe kuwa wewe.....lerRuto aketi na Raila waongee japo tension ni kubwa ila Bora nusu Shari kuliko Shari kamili
Anacho kifanya Raila ni uchokozi kwa Serikali ya Ruto, ila Rais na Makamu wameonyesha busara kubwa sana tatizo lipo kwa Babu hataki kukubali kama alishindwa uchaguzi, qlienda mahakamani napo akabagwa bado hakubali.Rigathi Gachetha, Makamu wa Rais wa Kenya, bila kumfunga speed governor, namuona anaiangusha serikali ya Ruto.
Ni kama mtu anayewashwa na pilipili au anatembelewa na siafu.
Raila anakuwa na nguvu sana pale unapomuwekea vikwazo, taking into account ushindi wao ni tofauti ya kura laki mbili, nusu ya nchi anayo Raila, nusu anayo Ruto, Ruto ameanza mapema mivutano, kwanza alitakiwa awe na uungwaji mkono mkubwa kabla ya kuanza fitna za kisiasa.
Raila mbinafsi sana. Hakuna uchaguzi alioshindwa ambao haujafuatiwa na vurugu anazoanzisha.Babu ni mtata sana, lakini safari hii chini ya Rais Ruto na Makamu wake asitegemee hand shake Wala nusu mkate, asubiri uchaguzi Mkuu 2027 panapo uhai.